Jionee uzuri wa Ziwa Tanganyika
Ziwa Tanganyika ni moja ya ziwa kuwa linalopatikana Africa ya Mashariki likipita kwenye nchi kama Tanzania, Burundi,Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo na Zambia,Ziwa hili ndio ziwa linaloshika namba moja kwa urefu( kina) kwenda chini ikiwa ni takriban 1,470m na eneo lenye ukubwa wa 32,900km².
![]() |
| A map showing Lake Tanganyika |
| Shughuli kubwa inayofanyika katika ziwa Tanganyika ni Uvuvi wa samaki hasa aina ya migebuka(Sleek lates).Hii ikitoa fursa kwa wakazi wa maeneo haya kufanya shughuli ya Uvuvi na kujipatia kipato chao cha Kila siku |
![]() |
![]() |
Samaki aina ya Migebuka inayopatikana haswa Ziwa Tanganyika |
Ziwa Tanganyika pia limekwa mhimiri mkubwa katika sekta ya utalii,Watu kutoka mataifa mbalimbali hutembelea ziwa Tanganyika kama sehemu ya kutalii na kujionea maajabu mbalimbali yanayopatikana ziwa Tanganyika.
Kwa nchi kama Tanzania ewe mgeni unakaribishwa sana kutembelea ziwa hili ili ujionee ukubwa wa ziwa hili lenye vivutio vingi na vizuri
Karibu sana Tanzania πΉπΏ karibu ziwa Tanganyika.



Comments